Wano Tanzania@Minaj
๐จ๐ฃ ๐ ๐๐๐ข๐ฅ ๐๐ฅ๐๐๐๐๐ก๐: Manchester United wanaonyesha nia kubwa ya kumsajili Micky van de Ven kutoka Tottenham Hotspur ๐ โก Speed ๐ง Ball-carrying ๐ก๏ธ Ulinzi thabiti ๐ฅ Hizi ndizo sifa zinazomfanya awe juu kwenye orodha ya United. ๐ฌ Ndani ya klabu wanaamini โ kama nafasi itafunguka, wanapaswa kufanya kila wawezalo kumpata.
160 views8 likes0 comments