Wano Tanzania
Wano Tanzania@Minaj

๐Ÿšจ Kocha wa Real Madrid ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Arbeloa kuhusu bata la Mbappe na mpenzi wake: "Wachezaji wote wenye majeraha wanafuatiliwa na kitengo chetu cha madaktari na ndio wanaopanga kila kitu. Kwenye muda wake wa Mapumziko, mchezaji yeyote anaweza kufanya anachotaka" #spotiripota

122 views5 likes0 comments